Kadhia ya SQL --

Dodosi la Sql:

Kufasiri SQL kwa ajili ya kadhia hii. Unarejea kwenye nyuga zilizoripotiwa kama “Fomu ya ripoti+uga”

Uga ya Fomu:

Uga ya fomu ambayo kadhia hii inaingiza thamani

Fomu Zinazochagulika

Fomu ambazo zinachagulika kwa ajili ya uga hii. Zinatumika tu kama uga ya fomu ni ya daraja dogo la I2CE_Uga ya Fomu_ILIYOPANDIKIZWA . Ni wakati gani inatakiwa kuwa orodha za fomu zilizotenganishwa kwa alama ya mkato.

Nyuga zilizounganishwa

nyuga ambazo zinaunganishwa wakati wa kuorodhesha chaguzi.Inatumika tu kama uga ya fomu ni daraja dogo la I2CE_Uga ya Fomu_ILIYOPANDIKIZWA. Inapaswa kuwa orodha za fomu zilizotenganishwa na alama ya nukta pacha au 'fomu+kiungo cha uga. Mfano : "nchi:wilaya+mkoa:[mkoa]:nchi"